Video Information
Kimetokea kifo cha gafla cha mke wa waziri mmoja huko India baada ya utata kati yake na umma ambapo alimtuhumu mume wake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwingine ambapo kifo hicho kilikua cha ajabu na ghafla, hiyo ni kauli ya msemaji wa hospitali.
Kifo cha Sunanda Pushkar kilikuja siku chache tu baada ya vyombo vya habari huko India kutoa taarifa kwamba aliingia kwenye akaunti ya twitter ya mumewe Shashi Tharoor na kuandika ujumbe kwamba yeye alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwandishi wa habari wa Pakistan.
Pushkar alikutwa amefariki kwenye chumba chake katika hoteli ya nyota tano huko New Delhi ambapo CNN-IBN ilitoa taarifa hiyo Ijumaa na mwili wake ulipelekwa kwenye kituo kiitwacho All India Institue of Medical Sciences kufanyiwa uchunguzi zaidi.

Postmortem imekamilika, tunatuma sampuli kwa ajili ya toxicology uchambuzi wa utawala wa sumu,” Dk Sudhir Gupta, mkuu wa bodi ya autopsy katika hospitali, aliiambia CNN.
Tarar alizungumza na CNN siku ya Ijumaa akielezea huzuni juu ya kifo Pushkar haya yakiwa maneno yake >>> “usiku mzima nimekosa usingizi, nimeshindwa kula hata kunywa maji, tulikua
na ugomvi kwenye akaunti ya twitter baada ya hapo nasikia amekufa,
sikuweza hata kupata nafasi ya kumpigia simu tuongee kumaliza tofauti
zetu, alionekana
mtu mwenye furaha muda wote na tabasamu zuri, lakini namna ambayo yeye
alikufa imeniuma sana na itaniuma kwa muda mrefu.”
Tarar pia alisema madai ya Sunanda yalikuwa ya uongo.
“Mimi nlikutana na waziri mara mbili tu katika maisha yangu yote na daima mbele ya watu wengine, tulikuwa tukiwasilaina hadi Juni na kisha alikuwa akinitumia barua pepe mara moja au mbili katika wiki.“
Pushkar, mfanyabiashara kutoka Dubaina Tharoor walifunga ndoa mwaka 2010.
Tharoor ni waziri wa rasilimali za binadamu na maendeleo Indiana ni mbunge pia, alikua waziri wa zamani wa mambo ya nje na wa zamani wa Umoja wa Mataifa chini ya katibu mkuu.