Video Information

Akinamama wa kijiji cha Mgongo wakipata maji ya Bomba katika kituo kimojawapo walicho jengewa kwa msaada wa Salimu Asasi mwana kijiji mwenzao na mfanya biashara Iringa.

www.sayariblog.blogspot.com-Msafiri kakili Dogo akielekea Mashine kusaga nafaka huku akiwajibika kumbeba mtoto mwenzake
wakapate mahitaji ya lazima kijijini Nduli (Mnyalu)