Video Information

Diamond Ajisifia, Asema Hajaanza Kuvaa Bling Bling Jana Wala Leo, Apost Na Picha Ya Utotoni
Msanii gumzo wa miondoko ya Bongo Fleva hapa nchini, Diamond Platinumz leo ametoa mpya kupitia mtandao wa kutupia mapicha maarufu kama Instagram kwa kupost picha yake ya Utotoni akiwa amevalia macheni ya Gold na kisha kuandika kuwa “Hii shughuri ya VYENI skuianza jana wala leo Kimwana… Long time Ago wewee!”
Msanii huyu mahiri amekuwa akifanya vizuri katika industry ya mziki wa Bongo kiasi cha kupata mafanikio makubwa ya kuwa na uwezo wa kununua vitu vya thamani lakini, siku ya leo msanii huyu amethibitisha kuwa toka kitambo alikuwa akifagilia bling bling. Tazama picha aliyopost msanii huyo ya enzi za utoto wake akiwa ametupia macheni kwenye mtandao wa Instagram kupitia akaunti yake …