Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

YALIYOJIRI LIGI KUU VODACOM

Views:
Video Information
Ligi Kuu Vodacom Jana ilinguruma kwa Mechi 4 ambapo Azam FC iliitwanga Mgambo JKT Bao 2-0 na kupanda hadi Nafasi ya Pili.
MATOKEO:
Jumatano Oktoba 9
Rhino Rangers 1 Mbeya City 3
JKT Oljoro 2 Ruvu Shooting 2
Azam FC 2 Mgambo JKT 0
Mtibwa Sugara 2 JKT Ruvu 1

VPL_2013-14_LOGO-NEWKatika Mechi hiyo iliyochezwa huko Azam Complex, Bao zote za Azam FC zilifungwa Kipindi cha Pili na Farid Malik, alietoka Benchi kumbadili Brian Umony, na kufunga katika Daikika ya 67 na la pili kufungwa Dakika ya 85 kwa Penati ya Kipre Tchetche
Huko Manungu Morogoro, JKT Ruvu ilichapwa 2-1 na Mtibwa Sugar ambao walifunga Bao zao zote kupitia Juma Luizio na Bao la JKT Ruvu kufungwa na Salum Machaku.
Kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mjini Tabora, Wenyeji, Rhino Rangers walifungwa Bao 3-1 na Mbeya City na huko Arusha kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, JKT Oljoro na Ruvu Shooting zilitoka Sare ya Bao 2-2 .
Ligi hi itaendelea tena Jumamosi kwa Mechi mbili za Wakongwe Yanga na Simba kucheza Mechi zao huko Bukoba ambako Yanga wataivaa Kager Sugar na Jijini Dar es Salaam, Simba watacheza na Tanzania Prisons.
RATIBA:
Jumamosi Oktoba 12
Kagera Sugar v Yanga
Simba v Tanzania Prisons
Jumapili Oktoba 13
Ashanti United v Coastal Union
Ruvu Shooting v Rhino Rangers
Mgambo JKT v Mbeya City
Azam FC v JKT Ruvu
Mtibwa Sugar v JKT Oljoro
VPL-MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
GD
GF
POINTI
1
Simba SC
7
4
3
0
11
16
15
2
Azam FC
8
3
5
0
5
11
14
3
Mbeya City
8
3
5
0
4
11
14
4
Yanga SC
7
3
3
1
6
13
12
5
JKT Ruvu
8
4
0
4
3
9
12
6
Coastal Union
7
2
5
0
3
6
11
7
Kagera Sugar
7
3
2
2
2
7
11
8
Ruvu Shooting
8
3
2
3
2
9
11
9
Mtibwa Sugar
8
2
4
2
-2
7
10
10
Rhino Rangers
8
1
4
3
-3
8
7
11
Prisons FC
7
1
4
2
-5
4
7
12
JKT Oljoro
8
1
3
4
-3
6
6
13
Mgambo JKT
8
1
2
5
-11
2
5
14
Ashanti United
7
0
2
5
-11
4
2

VPL: LIGI KUU VODACOM
MATOKEO YOTE:
Jumapili Oktoba 6
Yanga 2 Mtibwa Sugar 0
Mgambo JKT 0 Tanzania Prisons 1
Jumamosi Oktoba 5
JKT Ruvu 2 Kagera Sugar 0
Ruvu Shooting 1 Simba 1
Coastal Union 0 Azam FC 0
JKT Oljoro 1 Mbeya City 2

Jumapili Septemba 29
Ashanti United 2 Mtibwa Sugar 2
JKT Ruvu 0 Simba 2
Tanzania Prisons 1 Azam FC 1
Jumamosi Septemba 28
Yanga 1 Ruvu Shooting 0
Rhino Rangers 0 Kagera Sugar 1
Mbeya City 1 Coastal Union 1
Mgambo JKT 0 JKT Oljoro 0

Jumatano Septemba 25
Rhino Rangers 2 Ashanti United 0

Jumapili Septemba 22
Azam FC 3 Yanga 2
Coastal Union 1 Ruvu Shooting 0
JKT Ruvu 0 JKT Oljoro 1

Jumamosi Septemba 21
Mgambo JKT 1 Rhino Rangers 1
Tanzania Prisons 1 Mtibwa Sugar 1
Kagera Sugar 3 Ashanti United 0
Simba 2 Mbeya City 2
Septemba 18
Tanzania Prisons 1 Yanga 1
Simba 6 Mgambo JKT 0
Kagera Sugar 2 JKT Oljoro 1
Azam FC 1 Ashanti United 1
Coastal Union 1 Rhino Rangers 1
Mtibwa Sugar 0 Mbeya City 0
Ruvu Shootings 1 JKT Ruvu 0

Jumamosi Septemba 14
Simba 2 Mtibwa Sugar 0
Coastal Union 0 Prisons 0
Ruvu Shootings 1 Mgambo JKT 0
JKT Oljoro 1 Rhino Rangers 1
Mbeya City 1 Yanga 1
Kagera Sugar 1 Azam FC 1
Ashanti United 0 JKT Ruvu 1

Jumatano Agosti 28
Mtibwa Sugar 1 Kagera Sugar 0
Rhino Rangers 0 Azam FC 2
Mbeya City 2 Ruvu Shootings 1
Mgambo JKT 1 Ashanti United 0
JKT Oljoro 0 Simba 1
Yanga 1 Coastal Union 1
JKT Ruvu 3 Prisons 0

Jumamosi Agosti 24
Yanga 5 Ashanti 1
Mtibwa Sugar 1 Azam FC 1
JKT Oljoro 0 Coastal Union 2
Mgambo JKT 0 JKT Ruvu 2
Mbeya City 0 Kagera Sugar 0
Ruvu Shooting 3 Prisons 0
Rhino Rangers 2 Simba 2
Similar Videos