Video Information

Amesema: “Ni wazi utaona uchezaji wangu
sasa, nina furaha kwenye Soka langu! Moyes amekuja na ananichezesha
mbele na nafurahia. Sikuwa na tatizo kucheza nafasi nyingine lakini mimi
ni Fowadi na niliona nastahili kuchezeshwa kwenye nafasi yangu!”
Rooney aliongeza kuwa kuchezeshwa nafasi nyingine kulimfanya avunjike moyo na hilo lilisababisha uchezaji wake uathirike.
Alisema: “Kila Mtu Klabuni alijua wapi nataka kucheza. Labda ntakuwa Kiungo umri ukisogea lakini sikupendelea hapo!”
Kuhusu Mkataba wake na Man United ambao
umebakia chini ya Miaka miwili kumalizika, Rooney hakusema waziwazi kama
atabakia Klabuni hapo au la lakini alifafanua nini kilitokea mwanzoni
mwa Msimu huu ilipovumishwa anataka kuhama>
Alizungumza: “Ukweli ni kwamba nilikuwa
nimetulia ingawa kwa nje ilionekana si hivyo. Nilishaongea na wahusika
Klabuni na tulijua nini tunafanya. Klabu ilifafanua kuhusu hilo. Mke
wangu alipata Mtoto mpya na nilikuwa na furaha. Siwezi kusema nilitaka
kuondoka au la. Nataka kutilia mkazo Soka langu tu. Tutaona nini
kitatokea.”
RATIBA:
BPL: LIGI KUU ENGLAND
[Saa za Bongo]
MECHI ZIJAZO:
Jumamosi 19 Oktoba
14:45 Newcastle United v Liverpool
17:00 Arsenal v Norwich City
17:00 Chelsea v Cardiff City
17:00 Everton v Hull City
17:00 Manchester United v Southampton
17:00 Stoke City v West Bromwich Albion
17:00 Swansea City v Sunderland
19:30 West Ham United v Manchester City
Jumapili 20 Oktoba
18:00 Aston Villa v Tottenham Hotspur
Jumatatu 21 Oktoba
22:00 Crystal Palace v Fulham
MSIMAMO:
NA |
TIMU |
P |
GD |
PTS |
1 |
Arsenal |
7 |
6 |
16 |
2 |
Liverpool |
7 |
6 |
16 |
3 |
Chelsea |
7 |
6 |
14 |
4 |
Southampton |
7 |
5 |
14 |
5 |
Man City |
7 |
9 |
13 |
6 |
Tottenham |
6 |
4 |
13 |
7 |
Everton |
7 |
1 |
12 |
8 |
Hull |
7 |
-1 |
11 |
9 |
Man Utd |
7 |
1 |
10 |
10 |
Aston Villa |
7 |
1 |
10 |
11 |
Newcastle |
7 |
-3 |
10 |
12 |
West Brom |
7 |
1 |
9 |
13 |
West Ham |
7 |
2 |
8 |
14 |
Cardiff |
7 |
-2 |
8 |
15 |
Swansea |
7 |
-3 |
7 |
16 |
Stoke |
7 |
-3 |
7 |
17 |
Fulham |
7 |
-4 |
7 |
18 |
Norwich |
7 |
-4 |
7 |
19 |
Crystal Palace |
7 |
-8 |
3 |
20 |
Sunderland |
7 |
-11 |
1 |
www.sayariblog.blogspot.com