Video Information
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Taswa |
Moja ya Muimbaji kutoka katika Bend ya Vita Mult Band akizizungumza na waandishi wa habari jisi watakavyowapagawisha mashabiki |
Makamu Mwenyekiti wa Taswa Andrea Ngobole akizungumza jambo na Mjumbe wa Taswa Bwana Shija |
Mhamasishaji wa michezo kutoka TBL Bwana Deodatus Katambi akizungumza jambo na waandishi wa habari |
Bwana Andrea Ngobole akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari katika mkutano na wandishi wa habari |
Katikati ni Mwenyekiti Taswa akishangalia baada ya mwimbaji wa band kuimba akapela |
Bonanza hili la Nane la vyombo vya habari tangu kuanza kwa mashindano hayo linatarajia kufanyika tarehe 8/9/2013katika viwanja vya GENERAL TYRE ,kuanzia asubuhi ambapo timu mbalimbali zinatarajia kushiriki katika mchuano huo mkali ambapo mabingwa watakabithiwa KOMBE pamoja na kitita cha shilingi laki mbili na nusu,na mshindi wa pili atakabidhiwa shilingi laki moja,Pia wachezaji bora wa Football na Netball watakabidhiwa kitita cha shilingi elfu hamsini kila mmoja,Burudanwi pia Itakuwepo ambapo VITAMULT BAND magwiji wa kwa watu maalum duniani Watatumbiizaa
exclussive Kwako mdau kuwa Mgeni rasmi siku hiyo ni mkuu wa wilaya ya Arusha na waliodhamini bonza hili ni TBL,TANAPA,MEGA TRADE,COCACOLA NA PEPSI.
POPOTE PALE ULIPO MDAU USIKOSE KUSHIRIKI KATIKA TAMASHA HILI KWANI KIINGILIO NI MIGUU YAKO MWENYEWE