Video Information
Mwenyekiti wa Chadema Bw Mbowe akiwasili uwanja wa Mwembetogwa
Viongozi wawili wa Chadema cha
Demokrasia na maendeleo (Chadema) wakiongozwa na mwenyekiti wao Taifa
Bw Freeman Mbowe wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Iringa
kwa mahojiano baada ya kudaiwa kujiongezea muda katika mkutano wao
wa hadhara kwa ajili ya mabaraza la maoni ya rasmu ya katiba .
Habari kamili itakujia endelea kuwa nasi Daima