UncategoriesWAKALA WA MCHEZAJI WA REAL MADRID KARIM BENZEMA AMESEMA ATABAKI REAL MADRID
WAKALA WA MCHEZAJI WA REAL MADRID KARIM BENZEMA AMESEMA ATABAKI REAL MADRID
Views:
Video Information
Kulikuwa na uvumi yakuwa Benzema huenda angejiunga na washika bunduki wa London Arsenal lakini wakala wake amesema atabaki Madrid ili aweze kutimiza ndoto zake.Licha ya Benzema kutamani kufanya kazi na Arsene Wenger.