Video Information

Kwenye hizi siku kadhaa kabla hajaiachia, Diamond anaendelea kuwaonjesha mashabiki wake ladha ya huu wimbo kabla hata haujatoka ambapo kwenye official twiiter account zake za twitter, facebook na instagram Diamond anapost picha zenye mistari kadhaa ikiwa na #NumberOne.
Baadhi ya mashabiki wameshaanza kuelewa na kuanza kufatilia hii single mpya ambapo kwenye headlines nyingine, inaaminika Diamond anaweza kufanya uzinduzi mkubwa na wa tofauti sana kwa ajili ya hii video ya number one ambayo ameifanya nchini South Africa.