RAIS KIKWETE AMWAPISHA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA MPYA JAJI FRANCIS MUTUNGI IKULU DAR ES SALAAM LEO Views: Video Information Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam leo. PICHA NA IKULU Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimmshuhudia Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi wakati akitia saini mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimmkabidhi vitendea kazi Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi na viongozi wa vyama vya siasa Ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Jaji Francis Mutungi na Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Mhe John Tendwabaada ya kumuapisha Jaji Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam leo