Uncategories
picha na maelezo
picha na maelezo
Views:
Video Information

Mwenyekiti Muungano wa Azadi za Jinsia(GFC)Magidalena Rwebangira,akitoa hotuba wakati akifungua mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani kutoka Mkoa wa Dar es salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia na Chama cha washeria wanawake Tanzania(TAWLA)PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM)
Mtaalamu wa Sheria na Maendeleo(LEDECO ADVOCATES)Bw Clarence Kipobota akitoa msisitizo wakati akiwakilisha mada yake kwenye mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani kutoka Mkoa wa Dar es salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia na Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA)
DK.Grace Kazoba,kutoka chuo cha Usimamizi wa Fedha(IFM)akielezea mapendekezo ya Jukwaa la jinsia na rasimu ya katiba, kwenye mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani kutoka Mkoa wa Dar es salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia na Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA)
Wadau mbalimbali wa Baraza Jukwaa la jinsia la katiba,na madiwani kutoka mikoa ni wakiwa kwenye mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani kutoka Mkoa wa Dar es salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia na Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA)
Wanasheria,kutoka Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA)wakiwa kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti wa Chama cha wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) Aisha Bade,akiongea na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam,ambao umeudhuriwa na Madiwani kutoka Mkoa wa Dar es salaam,na Madiwani kutoka Mkoa wa moshi,Lindi,Zanziba,Mtwara,ulioandalia na Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA)
Diwani wa Viti maalumu Manispaa ya Moshi,Anna Nicholaus,akichangia mada wakati wa mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam
Diwani kutoka Wilaya ya Kinondoni Dar es salaam,Bernadette Ritti,akichangia mada wakati wa mkutano wa siku moja wa kupitia waraka wa hoja juu ya uwiano wa usawa wa kijinsia kwenye Katiba mpya na rasimu ya Katiba, uliofanyika Agosti 26-2013 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam(wakwanza kushoto)Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA)Tike Mwambipile(kulia katikati)Diwani Wilaya ya Kinondoni,Florence Wasira(kulia mwisho)Diwani kata ya Makongo,Deusdedit Mtiro,