Video Information
Rafael (hamstring) atakua nje mwezi mzima, Nani (groin), Ashley Young (ankle) na Javier Hernandez (hamstring) hawa hawatohusika kwa upande wa Man United leo usiku.
Mlinzi David Luiz kuna mashaka kama atashiriki ama la kutokana na hamstring problem.
Inategemewa bosi wa Blues Jose Mourinho anaweza kaanza na Romelu Lukaku katika safu ya ushambulizi.