Kikundi cha Sanaa cha Shule ya Bwawani Sekondari wakitumbuiza mbele ya Mgeni Rasmi, Kamishna wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(hayupo pichani) kwenye Maadhimisho ya 10 ya Siku ya Wazazi(Parents Day) Agosti 23, 2013 katika viwanja vya Shule hiyo.Baadhi ya Wazazi waliohudhuria Maadhimisho ya 10 ya Siku ya Wazazi katika Shule ya Bwawani Sekondari wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Kamishna wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(hayupo pichani) kwenye Maadhimisho ya 10 ya Siku ya Wazazi(Parents Day) Agosti 23, 2013 katika viwanja vya Shule hiyo inayomilikiwa na Jeshi la Magereza. (Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza)
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto) akiangalia Maonesho Maalum ya Kitaaluma kutoka kwa Wanafunzi wa Shule ya Bwawani Sekondari inayomilikiwa na Jeshi la Magereza leo Agosti 23, 2013 kabla ya kuzungumza na Wazazi kwenye Maadhimisho ya 10 ya Siku ya Wazazi(Parents Day).