Video Information

Muimbaji asiyeisha vituko Lady Gaga akiwa na Miley Cyrus wakitumbuiza kwenye ufunguzi wa utoaji wa tuzo za MTV Video Music Awards mwishoni mwa wiki, shoo hiyo ni ya kwanza kwa Gaga mara baada ya kufanyiwa upasuaji wa kutengeneza hips.