Video Information
!

Lakini, kwenye Mechi iliyoanza mapema,
Atletico Madrid walifanya mauuaji makubwa kwa kuitandika Rayo Vallecano
Bao 5-0 huku Bao zao zikifungwa na Garcai, Bao 2, Tiago, Turan na Costa.
Katka Mechi ya Ugenini na Malaga, Bao
pekee la Barca lilifungwa na Adriano katika Dakika ya 44 na hii ni Mechi
ya pili ya Barca baada ya kuanza La Liga kwa kuishindilia Levante Bao
7-0 Wikiendi iliyopita.
Kwenye Serie A, Inter Milan iliifunga
Genoa Bao 2-0 kwa Bao za Palacio na Nagatomo, Lazio kuichapa Udinese 2-1
kwa Bao za Candreva [Penati] na Hernanes huku Bao la Udinese likifungwa
na Muriel, na AS Roma kuiwasha Livorno 2-0 wakafungaji wakiwa Florenzi
na De Rossi.
Napoli waliishinda Bologna 3-0 kwa Bao za Hamsik, Bao 2, na Callejon.
VIKOSI VILIVYOANZA MALAGA v BARCELONA:
MALAGA: (Mfumo 4-3-3): Caballero; J.Gamez, Angeleri, Sergio Sanchez, Antunes; Darder, Camacho, Tissone; Pawlowski, Santa Cruz, Fabrice.
Akiba: Francisco Portillo, Roberto Chen,
Pedro Morales, Sergio Paulo Barbosa Valente, Eliseu Pereira Dos Santos,
Carlos Kameni, Sebastián Fern
BARCELONA: (Mfumo 4-3-3): Valdes; Adriano, Pique, Mascherano, Alba; Xavi, Song, Iniesta; Sanchez, Fabregas, Pedro.
Akiba: Marc Bartra, Daniel Alves da
Silva, Neymar da Silva Santos Júnior, Sergio Busquets, José Manuel Pinto
Colorado, Cristian Tello, Sergi Roberto
LA LIGA
RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Agosti 24
Elche CF 1 Real Sociedad 1
RCD Espanyol 3 Valencia 1
Villarreal CF 2 Real Valladolid 1
Jumapili Agosti 25
Atletico de Madrid 5 Rayo Vallecano 0
Malaga CF 0 FC Barcelona 1
Levante 0 Sevilla FC 0
Real Betis 1 Celta de Vigo 2
Jumatatu Agosyi 26
[Saa za Bongo]
22:00 Granada CF v Real Madrid CF
SERIE A
RATIBA/MATOKEO:-Mechi za Kwanza
Jumamosi Agosti 24
Hellas Verona 2 AC Milan 1
Sampdoria v Juventus
Jumapili Agosti 25
[Saa za Bongo]
Inter Milan 2 Genoa 0
SS Lazio 2 Udinese 1
Parma 0 Chievo Verona 0
Torino FC v Sassuolo
Napoli 3 Bologna 0
Livorno 0 AS Roma 2
Cagliari 2 Atalanta 1
Jumatatu Agosti 26
21:45 Fiorentina v Catania
BUNDESLIGA
MATOKEO:
Ijumaa Agosti 23
Borrussia Dortmund 1 Werder Bremen 0
Jumamosi Agosti 24
Bayern Munich 2 Nurnberg 1
Hannover 2 Schalke 1
Hoffenheim 3 Freiburg 3
Leverkusen 4 Monchengladbach 2
Mainz 2 Wolfsburg 0
Hertha 1 Hamburg 0
Jumapili Agosti 25
Eintracht Braunschweig 0 Eintracht 2
Augsburg 2 Stuttgart 1