Video Information
Msanii wa kizazi kipya, Faridi Kubanda maarufu kama Fid Q, akitumbuiza wakati wa tamasha la Airtel Yatosha lililofanyika Coco beach mwishoni mwa wiki.
Msanii maarufu wa kizazi kipya, Sir. Juma Nature, akimwaga burudani katika tamasha la Airtel Yatosha lililofanyika Coco beach jijini Dar es Saalam mwishoni mwa wiki.
Msaninii maarufu wa Hip Hop, Roma Mkatoliki, akiwapagawisha wapenzi wake katika tamasha la Airtel Yatosha lililofanyika Coco beach jijini Dar es Saalam mwishoni mwa wiki.
Kundi la sarakasi la la jijini Dar es Salaam likitoa burdani kwa maelfu ya Watanzania waliohudhuria tamasha la Airtel Yatosha lililofanyika Coco beach mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Majaji (JB), akimiliki steji na msanii nguli wa Bongo fleva, Sir. Juma Nature (hayupo pichani) wakati wa tamasha la Airtel Yatosha lililofanyika Coco beach jijini Dar es Saalam mwishoni mwa wiki.
Umati wa watu waliohudhuria tamasha la Airtel Yatosha jijini Dar es Saalam wakipata burudani huku wakishika mabango ya kuwashangilia wasanii mahiri wa kizazi kipya katika tamasha la Airtel Yatosha.
Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel, Levi Nyakundi, akibadilishana mawazo na Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando wakati wa tamasha la Airtel Yatosha lililofanyika Coco beach jijini Dar es Saalam mwishoni mwa wiki.
Msanii wa kizazi kipya maarufu kama Ney Wamitego akimwaga burudani kwa mashabiki na wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wakati wa tamasha la Airtel Yatosha lililofanyika Coco beach jijini Dar es Saalam mwishoni mwa wiki.
wiki.