Video Information
Andrea Ngobole mkufunzi na mshauri wa wanafunzi katika chuo cha uandishi wa habari Arusha
Hayo yamebainishwa na mkufunzi wa cho hicho Bw.Andrea
Ngobole ambaye pia ni mleziwa wanfunzi chuoni hapo wakati akifanya mahojiano na
habaribattle blog ofisini kwake jana mchana.
Alisema kuwa wanafunzi wengi wamejisahau katika nidhamu
ambayo ni chachu ya mafanikio kwani wanafunzui wamesahau sheria,kanuni na
taratibu zilizowekwa na chuo hicho kwani wanafunzi hawazifuati pia
hawazizingatii.
Bw.Ngobole alisisitiza kwa kuwataka wanafunzi kuwa makin I
chuoni hapo na kutasmbua ni nini haswa kilicho waleta chuoni hapo na kuachana
na mambo ya mikumbo kwani ndiyo chanzo cha kutokuwa na maadili na badala yake
wanadanganyana.
Ngobole alihitimisha kwa kusema kuwa uongozi wa chuo
hautafumbia macho kwa mwanafunzi ambaye hatakuwa na nidhamu awapo chuoni hapo
na kupewa adhabu ambayo itakuwa ndio fundisho kwa wanafunzi wengine kuwa na
nidhamu.