Video Information
SIDHANI KAMA MITANDAO NDIO CHANZO CHA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE 2012 KUFELI.JE!KIJIJINI NAKO KUNA MITANDAO KWA WINGI TUSIELEKEZE LAWAMA ZETU SEHEMU MOJA TU KUNA MAMBO MENGI AMBAYO YAMECHANGIA KAMA VILE UHABA WA WAALIMU, VIFAA VYA UFUNDISHAJI PIA KUWAHIMIZA WANAFUNZI KUTUMIA LUGHA YA KIINGEREZA ANGALI YA KISWAHILI BADO NI TETE.NA WAALIMU WAKIFUNDISHA WATUMIE LUGHA NZURI AMBAYO WANAFUNZI WANAELEWA KWA UHARAKA KAMA VILE KISWHILI.ASILIMIA KUBWA UNAKUTA WANAFUNZI AMBAO NI WA VYUONI WAKIWA LIKIZO NDO WANAWAFUNDISHA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE, SASA HIZO TWISHENI AMBAZO WANAFUNZI WANAZO ENDA NI ZA NINI KAMA HAKUNA MATOKEO MAZURI KWENYE MITIHANI.JAMANI TUNAMASWALI MENGI YA KUJIULIZA.- WAZAZI NAO WALIKUWA WAPI WAKATI WATOTO WAKIWA WANAINGIA KWENYE MITANDAO NA KUJUA MAMBO YA MESSI NA MAZOMBI?
- WIZARA YA ELIMU NAYO ILIKUWA WAPI KIASI CHA WANAFUNZI KUKOSA WAALIMU WA BAADHI YA MASOMO?
- WANAFUNZI NAO WAMEKUWA WAZEMBE SANA KWANI ALIFUNDISHWA KUCHORA MAZOMBI AU MESSI KITAALAMU MWALIMU HUMPA MWANAFUNZI ASILIMIA 25 YA MATIRIO NA MWANAFUNZI KUJITAFUTIA ASILIMIA 75 JE!WANAFANYA HIVYO?
CHANGE NI MIMI NA WEWE SOTE KWA PAMOJA TUNAWEZA