UncategoriesAMBER ROSE KUJIFUNGUA MDA WOWOTE KWANZIA SASA
AMBER ROSE KUJIFUNGUA MDA WOWOTE KWANZIA SASA
Views:
Video Information
Star wa muziki wa Hip Hop duniani Wiz Khalifa akiwa anaonekana mwenye furaha kila anapokua na mama wa mtoto wake mtarajiwa Miss Amber Rose wawili hao wakiwa wanatarajia kupata mtoto muda wowote kwanzia sasa lakini hawakuweza kukosa Tunzo za Grammyz ambapo Amber akionesha Support kwa mpezi wake ambae alikua nominated kwenye tunzo Hizo