Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

Nyumba binafsi ya Zuma haina neno

Views:
Video Information
Rais Jacob ZumaUchunguzi uliofanywa na serikali ya Afrika Kusini haukugundua ushahidi wowote kuwa fedha za taifa zilitumiwa kujenga nyumba binafsi ya Rais Jacob Zuma - swala ambalo limezusha utata kwa miezi kadha.
Lakini Waziri wa Ujenzi, Thembalani Thulas Nxesi, aliwaambia waandishi wa habari kwamba zaidi ya dola milioni-7 za serikali zilitumiwa kuimarisha ulinzi kwenye nyumba hiyo ilioko Nkandla.
Kati ya kazi hiyo ilikuwa kujenga pahala pa helikopta kutua, zahanati na nyumba za kuishi walinzi wa rais.
Uchunguzi huo uliamua kuwa Rais Zuma hakuwa na kauli katika mipango hiyo ya usalama.
Similar Videos