Video Information

Mercy Johnson ni miongoni mwa wasanii walio katika kumi bora ya wale waigizaji wakike wakali na bora nchini Nigeria.Mwaka 2012 ameufunga vizuri baada ya kujipatia mtoto wake wa kwanza wa k***.
Mtoto alizaliwa akiwa na afya yake katika hospitali ya John Hopkins huko Baltimore Marekani.
Mercy Johnson alifunga ndoa na mumewe Odianose Okojie mwezi wa nane mwaka 2011