Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

KUHUSU ILE BEEF YA MAY D NA P SQUARE

Views:
Video Information


0
.
Mwishoni mwa mwaka jana kiwanda cha muziki Afrika kilipata taarifa za P Square wa Nigeria kumtimua kwenye lebo yao msanii May D ambae alikula shavu kwenye kolabo ya chop my money, ikawa ishu ambayo ilizungumzwa sana kwenye media na beef ikaonekana waziwazi.
Baadae May D alizungumza na kusema taarifa za kufukuzwa kwake kwenye lebo ya P Square alizisikia tu kwenye magazeti na vyombo vingine vya habari lakini kina P Square hawakuwahi kumueleza chochote kitu ambacho kilimpa mwamko wa kuwashitaki.
Baada ya hapo kila mtu alijua kuna beef zito lakini siku chache zilizopita imeanza kuonekana kwamba hawako tena kwenye beef ambalo walikua hata hawaongei, juzi wakati May D amepata mtoto wa kiume Peter wa P Square aliamua kumuandikia kupitia twitter na kumpa hongera, hiyo ni moja ya ishara kwamba sasa hivi kuna uhusiano ambao sio mbaya.
Similar Videos