Matangazo

ZILIZO KUPITA HIZI HAPA.

Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yake

FA CUP: CHELSEA ULIMI NJE NA BRENTFORD, SARE 2-2!

Views:
Video Information
FA_CUP-NEW_LOGOFernando Torres leo amewanusuru Chelsea kutupwa nje ya FA CUP baada ya kusawazisha Bao katika Dakika ya 83 ya pambano la Raundi ya 4 walipotoka sare ya 2-2 na Brentford, Timu ya Daraja la Ligi 1, Madara mawili chini ya Chelsea.

MAGOLI:
Brentford 2
-Trotta Dakika ya 42
-Forrester 73 (Penati)
Chelsea 2
-Oscar Dakika ya 55
-Torres 83

Marcello Trotta ndie aliewapa Brentford Bao la kuongoza na Oscar kusawazisha kwa Chelsea.
Brentford wakenda tena mbele kwa Bao 2-1 baada ya Kipa wa Chelsea Ross Turnbull kumchezea rafu Tom Adeyami na Harry Forrester kufunga kwa Penati.
VIKOSI:
Chelsea: Turnbull, Ivanovic, Cahill, Terry (c), Cole; Ramires, Lampard, Marin, Oscar, Bertrand; Torres.
Akiba: Hilario, Ferreira, Azpilicueta, Mata, Benayoun, Ba, Ake
Brentford: Moore, Hodson, Craig, Dean, Logan, Forshaw, Douglas, Diagouraga, Donaldson, Trotta, Forrester
Akiba: Lee, Barron, Saunders, Adeyemi, Dallas, Reeves, Hayes
FA CUP
RAUNDI YA 4
RATIBA:
Jumapili Januari 27
[SAA 9 Mchana]
Brentford v Chelsea
[SAA 11 Jioni]
Leeds United v Tottenham Hotspur
[SAA 1 Usiku]
Oldham Athletic v Liverpool
Ndipo katika Dakika ya 83 likaja Bao safi la kusawazisha la Fernando Torres ambae aliupiga mpira hadi wavuni na kulazimisha Mechi ya Marudiano itakayochezwa huko Stamford Bridge katika Tarehe itakayothibitishwa.
RAUNDI YA 4
MATOKEO:
Ijumaa Januari 25
Millwall 2 Aston Villa 1
Jumamosi Januari 26
Stoke City 0 Manchester City 1
Norwich City 0 Luton Town 1
Macclesfield Town 0 Wigan Athletic 1
Derby County 0 Blackburn Rovers 3
Hull City 0 Barnsley 1
Middlesbrough 2 Aldershot Town 1
Brighton & Hove Albion 2 Arsenal 3
Reading 4 Sheffield United 0
Huddersfield Town 1 Leicester 1
QPR 2 MK Dons 4
Bolton 1 Everton 2
Manchester United 4 Fulham 1
Similar Videos