Video Information
Chama Cha Mapinduzi (ccm) leo kimefanya mkutano wake wa hadhara kwa wananchi wa kata ya Uru Kusini Moshi Mkoani Kilimanjaro.Mkutano huo ulikuwa unalenga chama hicho cha mapinduzi kwani ni mda mrefu sana chama hicho hakija fanya mkutano na wananchi wake tangau awamu ya pili katika kata hiyo ya kusini.
Pia wananchi wa kata hiyo wamesema kuwa viongozi wa chama hicho wamefanya vizuri kukutana na wanachi wake na kuweza kusikiliza maoni yao na matatizo yanayo wakumba wanchi hao katika kata hiyo Uru Kusini.
Pia mkutano huo umeweza kuwa neema kwa waendesha bodaboda kwani kila mmoja wao aligawiwa bendera za chama cha mapinduzi huku kila mmoja akilipwa shilingi elfu tano na kila dereva bodaboda aliweka bendera hizo katika pikipiki zao.